new_red TANGAZO LA NAFASI YA KAZI!!!new_red FOMU KWA MAHITAJI MBALIMBALI KATIKA SHULE ZETU; new_redMirathi / Urithi na Kununua / Kuuza KIWANJA BOFYA HAPA KUZIPATA new_red
Openbible
UAMSHO WA WAKRISTO TANZANIA (UWATA)

DHAMIRA

Lengo la awali la UWATA ni kuamsha Wakristo na kila mmoja alalaye dhambini! Warumi 13:11-14. La pili ni kuhubiri neno la Mungu kwa watu wote na kufanya jitihada (ikiwamo kufundisha, kuhimiza na kushauri) na kuhakikisha kwamba matunda (wale walio tubu dhambi na kuziacha) wakae katika utauwa kumsubiri Bwana harusi, Yesu Kristo. Hii imefanikiwa kupitia kukusanyika kila iitwapo leo, Waebrania 3:13, 10:25. Pia tunatoa huduma mbalimbali katika jamii kama elimu, afya na kushiriki katika utunzaji wa mazingira.

DIRA

Dira yetu ni kuwa jumuiya ya Kiroho iliyo kimbilio katika kutoa malezi ya KIROHO pamoja na huduma za jamii kama Elimu, Afya na Utunzaji wa mazingira.

pupils
UWATA SHULE YA AWALI NA MSINGI MCHEPUO WA KIINGEREZA-UWATA EDUCATION CENTRE MBEYA

The school was established in 1998 as a pre-primary English medium school having thirty three (33) pupils of which girls were seventeen (17) and sixteen (16) boys. A year later it was fully registered with registration number MB.01/7/E.A.004 by then there was only single stream.In the year 2000 the centre advanced to admit primary pupils with 67 pupils of which girls were thirty seven (37) and thirty (30) boys. A year later the centre was fully registered with the registration number MB.01/07/004.

ANWANI YETU:
S.L.P. 3574, SAE, MBEYA TANZANIA. SIMU NA.: +255-25-2510051 CELULA NA.: 0763674878. NUKUSHI NA.: +255-25-2510051.
EMAIL:uwata_centre@uwata.or.tz /
uwataprimarys@yahoo.com

SAE AREA, PLOT NO.1145 BLOCK “Y” MWAKIBETE,NEAR TANESCO SUBSTATION.

Boys
UWATA WAVULANA-MBEYA

UWATA BOY’S HIGH SCHOOL is a non profitable faith based school, boarding for boy’s accommodating all students regardless their religious background. The school was initiated serving both sexes but it’s now transformed to serve boys only. The school provides an excellent educational for O’ Level (I - IV) as well as A’ Level since January, 2007. We currently offer four combinations for A’ level students which are EGM, PCM, PCB , HKL, HGE,HGL and CBG. Strong emphasis is placed on English, Math’s and all Science subjects with the aim that your child should receive a quality education to meet the millennial goal challenges.

ANWANI:
S.L.P. 3574, ISYESE MBEYA TANZANIA
SIMU NA.: NUKUSHI NA.:
CELULA NA.: +255764809944
EMAIL: uwataboys@gmail.com /
uwatambeya_bhs@uwata.or.tz

LOCATION: isyesye ward, near and northern side of nane nane trade fair grounds, 1 km away from dar es salaam - tunduma tarmac road.

STUDENTS
HARRISONI SHULE YA WASICHANA

HARRISON UWATA GIRLS HIGH SCHOOL is a Faith based boarding Secondary High school for girls covering from Pre-form One to Form Six. The school was established in March 2010. The school is owned by Uamsho Wa Wakristo Tanzania (UWATA), being registered by Ministry of Education and Vocational Training with registration number S. 4143. As a modern institution designed for the acquisition of scientific, artistic, and technological knowledge, the School provides most of the subjects taught in secondary schools and all Arts and Commercial combinations for higher level. It is equipped with the condition and means necessary to develop research in the School library and Laboratories.

ANWANI:
S.L.P. 6274, IWAMBI MBEYA TANZANIA
SIMU NA.: 0255252560170
NUKUSHI NA.: 0255252560170/0252510341
CELULA NA.:+255-759-243753 / 754-352278 / 762-463282
EMAIL:harrison_ughs@uwata.or.tz /uwataharrison@gmail.com

LOCATION: The school is located on over 15 acres on the South of Mbeya City, along Mbeya - Tunduma tarmac road on your left hand side just at the beginning of Mbalizi Hill (Slope) approximately 5 kilometers from Mbeya City centre.
HUGHS
MADALE PRE & PRIMARY ENGLISH MEDIUM SCHOOL

UWATA MADALE PRE & PRIMARY ENGLISH MEDIUM SCHOOL is a faith based school and Non-Profitable providing; Pre & Primary Education for both boarding and day scholars. The school is owned by Uamsho wa Wakristo Tanzania (UWATA). The school started in June 2007 as a Nursery School. By that time the school had three teachers:one female and two were males with twenty one(21) pupils of which there were twelve (12) girls and nine(9) boys. In March, 2011 our school was registered for both Nursery and Primary with registration number DS02/7/E.A 113 for Nursery and DS02/7/113 for Primary school. Currently we are serving 430 total number of students

ANWANI:
S.L.P. 4828, MADALE DAR ES SALAAM. TANZANIA
SIMU NA.: ............
NUKUSHI NA.: ...................
CELULA NA.:+255-762-118 835 / 0714-548645 / 0763-724112
EMAIL: uwatamapri@uwata.or.tz / uwatamapri@yahoo.com

LOCATION: Madale area plot no.172 Tegeta via Wazo hill Twiga Cement through Kawawa road. 1.5km from Kawawa.(The main junction to cross is a scout road) DAR ES SALAAM CITY - TANZANIA.

1
STUDIO YA UWATA -TABATA DAR SE SALAAM

UWATA GLORY SOUNDS STUDIO (UWATA GSS) ilizinduliwa rasmi Oktoba 2011, japo mchakato wa uanzishaji wake ulizinduliwa tarehe 15 Novemba 2009 kwa kuwekewa kamati maalumu ya kushughulikia mradi huo ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Bwana la kila tawi (Faragha) kuwa na mradi wa uhakika.Tangu wakati huo Kamati hiyo maalumu imeendelea na taratibu za kuendesha mradi huo, mwanzoni ilibidi eneo linunuliwe pamoja na jumba lisilokamilika toka kwa mpendwa mwenzetu naye kuhamishiwa na kujengewa nyumba mahali pengine kwa makubaliano maalumu. Baada ya hatua hiyo kukamilika ndipo ujenzi wa jengo la studio ulipoendelea na hata wakati huu ujenzi unaendelea kwa hatua nyingine. Mradi huu kama tulivyoeleze hapo juu ni wa tawi la Bethania lililoko Tabata Dar es salaam ingawa kwa jinsi ulivyo umebeba sura ya kitaifa.

ANWANI:
S.L.P. 4828, DAR ES SALAAM. TANZANIA
SIMU NA.: ............
NUKUSHI NA.: ...................
CELULA NA.:+255-756016816
EMAIL: studio@uwata.or.tz

MAHALI ILIPO: Mtaa wa Mwangoka; huko pakifahamika zaidi kama kwa Walokole. Mwelekeo kutoka Ubungo au kona yeyote ya jiji la Dar es salaam; panda magari yaishiayo kituo cha Tabata Kimanga, ndipo uchukue usafiri wowote ukieleza kuwa unaelekea Tabata Machimbo- Mtaa wa Mwangoka; huko pakifahamika zaidi kama kwa Walokole, ni umbali wa kama mita mia nane (800) toka kituo cha Tabata Kimanga.