DIRA YETU
Kuwa jumuiya ya Kiroho ya watu waliotubu dhambi na kuziacha, wakiutunza utakatifu na kudumu katika kutenda mema pamoja na kujishughulisha na kazi za kijamii na kiuchumi hatimaye kuurithi uzima wa milele.
DHAMIRA YETU
Jumuiya imedhamiria kuwahubiri watu watubu dhambi zao na kuziacha na kuwafundisha walielewe, waliamini, walitii na kulitenda Neno la Mungu pamoja na kufanya kazi za kijamii na kiuchumi kwa bidii na maarifa.
HOSPITALI YA UWATA
SHULE YA MSINGI CENTA
UWATA SACCOSS
SHULE YA SEKONDARI YA WAVULANA
SHULE YA MSINGI LUPALILO
SHULE YA MSINGI MADALE
"HUDUMA BORA NDIYO KIPAOMBELE CHETU"
hospital@uwata.or.tz"EDUCATION IS A SUSTAINABLE ASSET"
uwata_centre@uwata.or.tz"ELIMU NI MWANGA WA MAISHA"
lupalilo@uwata.or.tz"JIWEKEE AKIBA MAPEMA UNUFAIKE"
saccos@uwata.or.tz"UWATA GLORY SOUNDS STUDIO"
studio@uwata.or.tz"ELIMU BORA NI RASILIMALI ENDELEVU"
uwatambeya_bhs@uwata.or.tz"MAADILI NA ELIMU BORA"
uwaamapri@uwata.or.tz"ELIMU BORA NI RASILIMALI ENDELEVU"
harrison_ughs@uwata.or.tz"Rekodi za Matukio ya Picha ya UWATA Pamoja na Miradi"
Lakini msingi wa Mungu ulio imara umesimama, wenye muhuri hii, Bwana awajua walio wake. Na tena, Kila alitajaye jina la Bwana na auache uovu.,
Lakini msingi wa Mungu ulio imara umesimama, wenye muhuri hii, Bwana awajua walio wake. Na tena, Kila alitajaye jina la Bwana na auache uovu.,
Soma zaidiFor Kwa maelezo zaidi tafadhari wasiliana nasi.
2 Timotheo 2:19 Lakini msingi wa Mungu ulio imara umesimama, wenye muhuri hii, Bwana awajua walio wake. Na tena, Kila alitajaye jina la Bwana na auache uovu.,